NOTE: Only holders of Certificate of Secondary Education (Form IV) with at least four passes are eligible to apply.

ZINGATIA: Wenye sifa za kuomba ni wale tu waliomaliza kidato cha nne na kufaulu angalau masomo yeyote manne kwa kiwango cha alama "D" au zaidi.


NOTE: Every applicant shall pay Ths 20, 000/= for NACTE verification. This fee shall be paid at the time of registration.

ZINGATIA: Kila mwombaji atatakiwa kulipa shilingi 20,000/= wakati wa kusajiliwa chuoni kwa ajili ya uhakiki wa NACTE.